Bachelor of Science in Information Technology chuo cha CBE

Joined
Jul 14, 2019
Posts
42
Reaction score
22
Habari wakubwa natumaini ni wazima wa afya.

Nami napenda kuchukua nafasii hii kuwaomba ushauri katika hii. Nimechaguliwa Bachelor of Science in Information Technology katika chuo tajwa apo juu.

Naombeni ushauri wenu kuhusu hii kozi naddo cjafanya confirmation napenda kupewa #hits kuhusu chuo
Kwa upande wa ufundishaji na mambo muhimu kuhusu hii kozi.

Natumaini nitapata ushauri kutoka kwenu mana mpo mlionizidi elimu na experience.
 
Mimi ni mfanyakazi chuo cha CBE nikikupatia ushauri utasema nataka tu uje kusoma kwetu, ila nakushauri kwamba pita kwenye office mbalimbali ufanye research mwenyewe utapata majibu.
 
Mimi ni mfanyakazi chuo cha CBE nikikupatia ushauri utasema nataka tu uje kusoma kwetu, ila nakushauri kwamba pita kwenye office mbalimbali ufanye research mwenyewe utapata majibu.
Sante!mkuu naomba ushaur wakko mana mm ni mkazi wa bagamoyo mechagua hiyoo kozi campus ya dar es salaam
 
Hivi hukuona Mzumbe ukasome IT ? Au hukuona Udism au hukuona Sua hata ardhi pia

Basi ungejitahidi ukaenda udom
 
Hizo Course nchi hii zipo sehemu mbili tu.

1. Coict - Udsm

2. Cive ( College of informatics and virtue education) - Udom

Utanishukuru ukihitimu
 
Ni course nzuri ila kwa chuo hiko sio course nzuri kwa wewe kusoma.
Kwenye soko la ajira course na chuo ulichosoma huwa vina uhusiano. Kwa course za biashara komaa hapo ila kwa hiyo IT tafuta chuo kingine mkuu. Nenda hata IFM

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Shukrani! Ndugu baddo cjafanyaa confirmation ahsante kwa ushaur
 
Kwani machaguo yashatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh mara hii watu washachaguliwa na chuo tayari
 
Mbona hata mwandiko wako hauleweki?
 
Bwana mdogo sikia..IT hua haiangalii chuo ulichosoma kinacho matter ni passion yako mwenyewe. Je una passion na IT au umechagua bora liende tu ? Kama una passion chuo watakupa less than 25% inayobaki ni wewe na juhudi zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…