Bachelor of Science in Molecular Biology and Biotechnology

edzer20

New Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Habari wana JF,

Naomba kujuwa maelezo zaidi ya kozi hii na fursa zake kwa ujumla.
 
Ni kozi inayohusiana na matumizi ya technology katika Viumbe hai ilI kuleta Tija katika jamii Mfano: katika matibabu Kama uzalishaji wa Madawa kwa kutumia bacteria, fungi, Virus na uzalishaji wa insulin kwaajili ya watu wa kisukari, pia matibabu ya gene therapy, personalized drug n.k eneo hili la biotechnology linaitwa Red biotechnology.

Pili biotechnology na molecular biology inahusika na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za viwandani Kama chocolate, cocoa, biorector, biofuel, hii branch ya biotechnology inaitwa industrial biotechnology. Eneo hili linaitwa White biotechnology

Eneo la Tatu na la muhimu la biotechnology na molecular biology ni agriculture biotechnology. Eneo hili linahusika na uzalishaji wa mbegu zitakazostahimili ukame, magonjwa kwa kupitia process inayoitwa Tissue culture, pia uzalishaji wa biogas kwa kupitia mbolea ya ng’ombe. Pia uzalishaji wa mafuta ya kuendeshea magari kupitia mimea Kama vile Jatrofa ili kupata Biodesel, Bioethanol. Eneo hili linaitwa Green biotechnology

Eneo la nne la biotechnology linaitwa Blue biotechnology linahusiana na matumizi ya Viumbe vya Bahraini katika uzalishaji wa bidhaa mbalimbali eneo hili bado liko kwenye utafiti .

Yapo Maeneo mengine Mfano mazingira, matumizi ya Biosensors, Biotreatment, Biocomposite, Bioplastic na yapo maeneo mengine kwenye mambo ya computer science pia biotechnology ime develop Biocomputer, Bioinformatic.
 
Course nzur ila soko lake la ajira ni gumu.
 
Back
Top Bottom