Ajira zake zinapatikana katika serikali, mashirika ya umma (TANAPA, Ngorongoro, TTB), pia katika makampuni ya usafirishaji kama vile Airways, Tour Operators, Travel Agents, Cruise Companies (NGO's). Kwenye mahoteli makubwa(Campisky, Travetine & La Cairo nk). Kwenye taasisi za fedha(business firms), charities nk. Ajira hazisumbui sana sababu ni sehemu nyingi zinahitaji watu wenye hiyo qualification. Tatizo uwe tayari kufanya kazi sio chini ya masaa 18 kwa siku. Uliza kingine ambacho hujaelewa au nimekiacha kukifafanua vizuri!