Huwezi kuwa serious kabisa eti hujui inahusu nini!!! Hapo uwe umepiga Advanced Mathematics,kwa BAM na Basic Maths hutokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Hiyo inahusu takwimu maana inabidi tukupe tafsiri labda unaweza ukatuelewa,wanashirikiana na watu wa uchumi katika tafiti mbalimbali,ila mambo yakibuma wanakuwa walimu wa sekondari na baadhi ya vyuo(inategemea na uwezo wa muhitimu).