Hao ni walimu sema watakua wanafundisha vyuo vya ufundi.Salaam WanaJamii.
Naomba kujuzwa zaidi juu ya hii Course;
#Wahitimu ni Waalimu (wa Ngazi gani?)
#Je ni Ma-Engineer (kwa viwango gani)?
#Au ni Walimu na MaEngineer kwa wakati mmoja.
#Wanaweza kufanya Shughuli zipi mtaani na kwenye mataasisi?
Kingine chochote ukijuacho nje ya hivyo unaombwa kushare.
Naifananisha hivyo japo imenifanya niwaze upya apo kwenye 4years!Nimekupata Sir. Hii unaicompare vipoi na Education in Science za kawaida kama Physics na Chemistry
Shukran MkuuNaifananisha hivyo japo imenifanya niwaze upya apo kwenye 4years!
Ni risky kuisoma alafu unamaliza ERB wanasema hawawatambui!
NB: wanaomaliza kozi ya architecture ya MUST hawatambuliwi na bodi ya architects Tz.. kuwa makini na hiyo kozi!