BVM aiseeee ......hautokuja juta kwenye maisha yako bt jiandae na msuli wa maana"!""""
[h=3]BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"[/h]Ushauri ndugu kama Title inavyosema hapo juu, mimi nina diploma ya afya na uzalishaji mifugo (DAHP) Nimehitimu mwaka juzi, sasa nataka kujua/ushauri nichukue bachelor ipi kati ya veterinary medicine na biotechnology and laboratory science pale SUA na vipi kuhusu money i mean salary after to graduate
chukua biotechnology and laboratory science hii ina kazi/project nyingi sana hautalala njaa,halafu baadaye utasoma MPH (usisome MBA!), achana na BVM, utaishia kuzuzuka kwa title ya Dr. wakati hailipi, kila mtu anajiita Dr hata kule dodoma waheshimiwa nao wanajiita Drs! mbona hakuna anayejisingizia kuwa yeye ni engineer, mganga wa jadi, ngariba au mchawi?
BVM is the best
Aliyekwambia ukasome BVM amekushauri vizuri sana kati ya hizo kozi mbili.
Bongo biotech bado saaaana.
Ila kama unategemea kuitumikia taaluma yako nchi zilizoendelea ningekwambia biotech.
Mara nyingi nashauri mtu akasome kutokana na upungufu wa alichonacho..mfano kama wewe ni mkulima una mashamba mengi na unahitaji kusoma huwezi kusomea nursing ila utasoma agronomy, agri general, agri business n.k.
Na pia kama wewe una ng'ombe, kuku nk..ukitaka elimu basi elimu ya animal science au vet medicine itakufaa.
Vilevile kwa mwenye maduka elimu itakayomfaa ni Bcom, Bba n.k.
Sasa wewe unafikiri unahitaji kuwa na elimu ya kitu gani ambacho kitakusaidia kwenye shuguli zako?
Usisome ilimradi umesoma.
BVM ndo mpango mzima ila ni ngumu balaa
watasema mengii ila kokote utakakochagua kuna uwezkano wa kuchomoka vizuri au kulala njaa, swala ni wewe chagua unapopapenda afu komaa kupiga msuli uwe the best u can be, ukilala lazima upigwe njaa tu hata kama ni course gani... na hamna course rahisi hua ni maneno tu ya wajinga kujifariji, mwenye akili anajua kabisa nothing comes easy