Ni kweli, mm pia nimesoma pale main campus, watu wa vet huku mtaani wanakula msoto kama kawaida.Kama unapenda nenda kasoma but notion ya kua ukimaliza utapata kazi instantly itoe kabisa nimesoma pale Sua 4years na nina marafiki wengi tu waliokua huko kwa hiyo course but now wanafanya mambo mengine tu.
Kiufupi soka la ajira ni gumu sanaa...
Well notedKama unapenda nenda kasoma but notion ya kua ukimaliza utapata kazi instantly itoe kabisa nimesoma pale Sua 4years na nina marafiki wengi tu waliokua huko kwa hiyo course but now wanafanya mambo mengine tu.
Kiufupi soko la ajira ni gumu sanaa...
Kweli kabisa mkuu,mimi mwenyewe huyu ndugu yangu nimemshauri ila naona moyo wake bado haujafunguka.anataka MD tu.Nilichogundua sasa hivi ni ngumu sana kumshauri kijana aliyetoka form 6 kisha akataka kusoma MD ukamueleza kua kupata ngumu akakuelewa ili atafute kozi nyingine ya afya...wengi huja mambo yakishaharabika.
MD anasoma mnyama mmoja (binadamu) wakati Vet anasoma kuanzia binadamu, mbwa, mbuzi mpaka punda mpaka ngamia bila kusahau kuku.Kwema wakuu.
Ebana ndugu yangu amechaguliwa kozi tajwa hapo juu chuo cha sokoine pale Morogoro, naona Kama hajaridhishwa hivi na hii kozi, lengo lake lilikua asome MD ila vyuo vyote vya medicine alivyoomba hawajamchagua sababu ya ushindani kuwa mkubwa sana mwaka huu. Matokeo yake ya kidato cha sita ni division 1.9 PCB.
Nilikua naomba kujulishwa kuhusu hii kozi ya veterinary medicine iko vipi pale sua na vipi soko lake la ajira nalo limekaa vipi?
Asante
Sawa Sawa Aende AkasomeMD anasoma mnyama mmoja (binadamu) wakati Vet anasoma kuanzia binadamu, mbwa, mbuzi mpaka punda mpaka ngamia bila kusahau kuku.
Hiyo ni kozi nzuri lakini aende anaamini ana kichwa chepesi.