Bachelor yeyote jitahidi uwe na vitu vifuatavyo

Bachelor yeyote jitahidi uwe na vitu vifuatavyo

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
Kitanda
Fridge
Gas cooker/ jiko la mkaa/ stove
Subwoofer
TV pana kiasi
Leseni ya kuendesha gari
Kabati la nguo na viatu
Feni
Sofa

Mchongo wowote wa kukupa kipato halali

Then baada ya hayo unaweza kuongezea;

Biashara
Kiwanja
Nyumba
Usafiri
Mtoto

Ukishafanikiwa kuwa na hayo yote si lazima uoe 😅
 
chumba cha shilingi ngapi??? maana bachelor uliemzunguzia hapa anaweza kuoa hata kesho, yani hana sababu ya kutokuwa na mke wee bachelor anakabati la viatu anafeli wapi sasa?
 
Vip kuhusu passport
 
chumba cha shilingi ngapi??? maana bachelor uliemzunguzia hapa anaweza kuoa hata kesho, yani hana sababu ya kutokuwa na mke wee bachelor anakabati la viatu anafeli wapi sasa?
Kwani mabachelor hawatakiwi kuwa na sehemu ya kuweka viatu( shoe rack)
 
Kitanda
Fridge
Gas cooker/ jiko la mkaa/ stove
Subwoofer
TV pana kiasi
Leseni ya kuendesha gari
Kabati la nguo na viatu
Feni
Sofa

Mchongo wowote wa kukupa kipato halali

Then baada ya hayo unaweza kuongezea;

Biashara
Kiwanja
Nyumba
Usafiri
Mtoto

Ukishafanikiwa kuwa na hayo yote si lazima uoe 😅
Mimi nimetoka kumaliza chuo napata vipi hivo vitu ata mchongo wa kuniingizia pesa sina.?
 
Back
Top Bottom