Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Vip kuhusu passportKitanda
Fridge
Gas cooker/ jiko la mkaa/ stove
Subwoofer
TV pana kiasi
Leseni ya kuendesha gari
Kabati la nguo na viatu
Feni
Sofa
Mchongo wowote wa kukupa kipato halali
Then baada ya hayo unaweza kuongezea;
Biashara
Kiwanja
Nyumba
Usafiri
Mtoto
Ukishafanikiwa kuwa na hayo yote si lazima uoe 😅
Hio sio lazima uwe nayoVip kuhusu passport
Hata kuolewa pia ni muhimu sanaKuoa ni muhimu
Ukifika uzeeni ndo utaona umuhimu wa ndoa
Sikuwa na maana hiyo mkuuBadilisha tittle ya uzi iwe kataa ndoa
Kwani mabachelor hawatakiwi kuwa na sehemu ya kuweka viatu( shoe rack)chumba cha shilingi ngapi??? maana bachelor uliemzunguzia hapa anaweza kuoa hata kesho, yani hana sababu ya kutokuwa na mke wee bachelor anakabati la viatu anafeli wapi sasa?
Passport ni zana muhimu sana hasa kwa mtu anaye hustle na hivi hana familia au mke kuondoka kufukuzia michongo ni dakika 0 tu.Vip kuhusu passport
Kijana jitahidi umiliki vitu nilivyovitaja hapo juuNina kitanda tu,
Na sina mchongo wowote ule
Noted✍️Passport ni zana muhimu sana hasa kwa mtu anaye hustle na hivi hana familia au mke kuondoka kufukuzia michongo ni dakika 0 tu.
Wala sijaharibu popote mkuu, kuoa Ni suala la hiari tuumeeleza vzr mwsho ndo umeharibu
hyo KE mwsho kwenye jina lako ina maana gani mkuuWala sijaharibu popote mkuu, kuoa Ni suala la hiari tu
Hapa mwishoni unge-bold na herufi kubwaUkishafanikiwa kuwa na hayo yote si lazima uoe
Mbona inasomeka tu vizuri mkuuHapa mwishoni unge-bold na herufi kubwa
Achana nayo hiyohyo KE mwsho kwenye jina lako ina maana gani mkuu
Mimi nimetoka kumaliza chuo napata vipi hivo vitu ata mchongo wa kuniingizia pesa sina.?Kitanda
Fridge
Gas cooker/ jiko la mkaa/ stove
Subwoofer
TV pana kiasi
Leseni ya kuendesha gari
Kabati la nguo na viatu
Feni
Sofa
Mchongo wowote wa kukupa kipato halali
Then baada ya hayo unaweza kuongezea;
Biashara
Kiwanja
Nyumba
Usafiri
Mtoto
Ukishafanikiwa kuwa na hayo yote si lazima uoe 😅