We mtoto kwani nani amekwambia UDSM wametoa selection zao!!! au umefuata yale majina yasiyo na udhibitisho???
anyway inamaana wewe ulipokuwa unasoma toka umeanza darasa la kwanza hukujua unapenda usomee nini? umejazaje coz usiyojua future yake au umefuata jina zuri 'BANKING AND FINANCIAL SERVICES'?? wabongo bana huwa hatunaga future, yaaan mtu unajaza coz kutokana na jina bila kujua future yake ni nini??
any way hiyo coz does not mean utakuwa bank teller but utasoma course nyingi zinazorelate na banking services pia financial services, tunasema unakuwa BANKER mean any bank position unaweza fanya though kazi za bank hata mtu aliyesoma socology anaweza fanya, unaweza kuwa bankteller, bank officer, or credit officer, bank auditor etc pia course hiyo inakuwezesha kufanya kazi taasisi yoyote sio bank tu, but in finance related issues.
KUMBUKA COZ HIYO KAMA SIJAKOSEA NI MPYA PALE UDBS - UDSM. Kama umechaguliwa karibu sana hapa tupo wakongwe sie tunamiaka 5 pale sasa.