Ndunamputa Senior Member Joined Dec 31, 2012 Posts 100 Reaction score 16 May 26, 2014 #1 Habari wana jamvi, naulizia vyuo vinavyotoa degree ya education kwa muda wa jioni (evening classes) vipo? Viwe vya masomo ya biashara na uchumi au masomo ya arts. Mwenye tarifa navyo naomba anijuze tafadhali
Habari wana jamvi, naulizia vyuo vinavyotoa degree ya education kwa muda wa jioni (evening classes) vipo? Viwe vya masomo ya biashara na uchumi au masomo ya arts. Mwenye tarifa navyo naomba anijuze tafadhali