Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Bi mkubwa hataki kusikia wala kuhubiriwa ilikuwa ni kutoa avatar au kuendelea kunyimwa "mkate wa kila siku".
🙁
Oooh you are weak....
ha ha ha......
he should be strong or tough??????
Oooh you are weak....
.... next time I'm gonna get me a mdoli!! no arguing, no nagging, nor sexual harassment!
Please MMK, dawa ya moto siyo maji, ni moto; Ungemnyima na wewe! he he.
whaaat??? nimunyime!!? unajua kila akitembea ni watu wangapi wanajitolea wampe.. si ndiyo itakuwa "my loss is somebody else's gain"?
Lol....unaogopa kumegewa siyo....tatizo unaweza hata usimnyime lakini bado wakamega vilevile....heheheheheee....let me stop....
....nimeweka avatar .......
🙁
Mkuu hapo umeenda mbali. Kumbuka hata huku jamvini walikuwepo wanaume waliotaka urudishe avatar ya awali. Hapo umewaweka kapu moja na hao wanamama. Fafanua hapo