Back Camera

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,374
Reaction score
6,857
Habari Wakuu, nataka niweke back camera kwenye ndinga, naomba kujua fundi wanapatikana wapi kwa Dar es Salaam , na bei ya kuinstall hiyo kitu ni kiasi gani nijipange.
 
Sijakuelewa, ndinga gari au ndinga kalio la demu wako?
 
Habari Wakuu, nataka niweke back camera kwenye ndinga, naomba kujua fundi wanapatikana wapi kwa Dar es Salaam , na bei ya kuinstall hiyo kitu ni kiasi gani nijipange.
Duh mara mbili nishaburuza baiskeli zilizoegeshwa nyuma ya gari yangu! Nimeona umuhimu wa camera!
 
Mwezi uliopita niliiburuza pikipiki jamaa yaani kapaki nyuma yangu hapohapo mi nilikuwa na haraka kidogo dah nikaibutua imekwangua bampa la nyuma ila si sana ni kialama tu kidogo nimeona umuhimu wa hii kitu, halafu ukiweka tinted ndo kabisa uhitaji ni mkubwa
 
Radio yako/ Music system yako inasuport camera? kama ndio gharama kununua na kufunga haiwezi zidi laki 1
 
Habari Wakuu, nataka niweke back camera kwenye ndinga, naomba kujua fundi wanapatikana wapi kwa Dar es Salaam , na bei ya kuinstall hiyo kitu ni kiasi gani nijipange.

check na huyu jamaa yupo magomeni mapipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…