ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,244 Reaction score 1,741 May 2, 2011 Thread starter #21 Maria Roza said: Jaribu na kuleta manukato ya kike na kiume hii nayo ni nzuri sana maana vingi bongo ni feki Click to expand... Kweli vingi feki na ndicho kinachonitatiza coz wabongo wengi wanapenda sana vi2 feki.ukimletea may b pafume original y elf15 na feki y elf5 atachukua y elf5 ......ukizingatia mi ntakua nauza mkonon cyo dukani.
Maria Roza said: Jaribu na kuleta manukato ya kike na kiume hii nayo ni nzuri sana maana vingi bongo ni feki Click to expand... Kweli vingi feki na ndicho kinachonitatiza coz wabongo wengi wanapenda sana vi2 feki.ukimletea may b pafume original y elf15 na feki y elf5 atachukua y elf5 ......ukizingatia mi ntakua nauza mkonon cyo dukani.
ENZO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,244 Reaction score 1,741 May 2, 2011 Thread starter #22 Husninyo said: thanx zilikuwa holiday. lol Click to expand... Kumbe nadho huwa dhinaenda holiday! zanzibar au?
Husninyo said: thanx zilikuwa holiday. lol Click to expand... Kumbe nadho huwa dhinaenda holiday! zanzibar au?
M mercylilly Member Joined Mar 23, 2011 Posts 5 Reaction score 1 May 4, 2011 #23 Kwa mimi nadhani spare ndogo ndogo za magari yanayoeleweka ka benz ukichunguza ni vitu gani vinasumbua kwa wengi anaweza akamake, kama sensors etc
Kwa mimi nadhani spare ndogo ndogo za magari yanayoeleweka ka benz ukichunguza ni vitu gani vinasumbua kwa wengi anaweza akamake, kama sensors etc