Back Into History, Mwl.Nyerere Visit in China.

We we unajiona bora, unafanya nini sasa kwenye mitandao humu. Si ungekuwa kwenye upande mwingine ule Wa akina Kinyata.
 
Usitumie wingi,
Wengine tumeshasafiri huko Duniani na tunaendelea kusafiri, siku hizi mambo ni Rahisi zaidi, kama huwezi kusafiri basi hilo ni Tatizo lako binafsi.
Na hata hivyo, Huyu Kiongozi hana sifa Tanzania Pekee, ni Dunia Nzima,
Mpe mtu sifa yake pale anapostahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…