Back to back,Hamisa Mobetto na yeye kesho kuibuka mjengoni

Akijitokeza huenda akajiharibia zaidi Christiano Ronaldo alizaa na mwanamke asiyejulikana na alilipwa pesa ndefu mzaaji ametulia hadi leo maisha yanaendelea vizur tu wazungu wametuacha mbali mno ingekuwa bongo kwa utajir ule wa ronaldo na umaarufu alionao mtu kama hamisa unamwambia tulia walahi anakuua. Ronaldo junior anashinda sana bibi yake + baba yake wanafurahia maisha
 
Kaka naona uko na ronaldo leo ila kumbuka CR7 waliingia mkataba na nchi zao vinaruhusiwa hvyoo
 
Hapa kuna watu kesho hawatafanya kazi kabisa kwa muda wa masaa manne kama ilivyokuwa leo.

Na hii ndio Tanzania nchi ya wapenda udaku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…