Ni muda kitambo nimewamiss sana wapenzi wangu hapa jf da!
Msinifikirie vbaya sitawatosa. Liz, Afrodenz, Michelle, Husininyo, Asha Dii, Dena amsi, Uporoto, first lady na wengineo kidole kimechoka kuandika majina mengine hayasomeki in series kwa jinsi yalivyo feki na initials. Jamani mpoo, Nilienda mbali utadhani mkimbizi almanusa Paka niwe kimbulu/kicheche. Mwaaaaaa...aaaaa...!
Kwenye lipsi kwa female wote Preshaz msijali mkidhani mtagombana na wapenzi wenu kiss just a sign of luv between friends. MWANAJAMII 1 KAMANDA WAUKWELI SANA SHIKAMOO MKUU pamoja na wa BabaWOTE NA HUGS KWA VIJANA WENZETU. AFrodenzi nipe ripoti ni kilijiri hapa jukwaani nilipoondoka? Mwanajamii, nyani ngabu , jukwaa la harakati linaelekea wapi? Vibaraka bado wanaongea au kusajiliwa? .
Alafu Afrodenzi shiling imeshuka thamani hiyo lipshine/lipstik/ule wanja na vipodo nilinunua utumie mwaka mzima paka kistaarabu ili matumizi yasizid uwezo sitaki uchakae.