Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Wakuu!
Wazee wa kutafuta vichaka vya kujifichia sasa tumefikiwa.
Nimekua nikitumia linux kama primary kernel kwenye laptop yangu kazi
Moja ya sababu ni usalama, kupinguza attack, virus etc zinazo sumbua kwenye windows os
Sasa kuanzia update ya trh 25 - 29 /3, red hat waligundua backdoor kwenye moja ya package( xz inatumika kufanya compression ya files)
Aliyekua maintainer wa hii package kwa mda sasa alikua hafanyi contributions, kama unavyo jua open source wewe ukiacha mwengine anafanya
Contributer wa sasa (Miaka miwili) moja ya latest update alizofanya kwenye hii package ni kuweka backdoor ambayo inampa remote access ya computer yako
Hii backdoor inafanya kazi kwa ku bypass openSSH key verification kuwezesha remote access
Sasa assume wewe ni senior engineer, attacker ameweza ku access laptop yako unayotumia kwenye production
Ana uwezo wa ku clone au ku access private codebase, ku download .env, docker files na pia aweze ku push changes kwenye database
Yani j3 ijayo kuna kampuni zilikua zinafungwa. Tuwe makini sana hamna sehemu salama 100%