Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
Katika dunia ya sasa watu tunategemea sana kompyuta na digital data, kwa hiyo kifaa chako kikiharibika/kupotea/kuibiwa unaweza kupoteza vitu vingi sana.
Hivyo ni muhimu kutengeneza Backup (Yaani copy ya vitu vyako) mara kwa mara.
Q:Nifanye back-up ya vitu gani?
A: Hili linatofautiana na mtu, lakini kwa ujumla ni muhimu kubackup vitu ambavyo haviwezi kupatikana kabisa au hupatikana kwa shida sana vikipotea Kwa mfano:
Vitu kama movies, music etc sio muhimu sana kutengeneza backup yake kwa vile vinapatikana kirahisi kutoka sehemu zengine.
Q:Ni jinsi gani nitafanya backup?
A: Backup ni copy tu ya data zako kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.
Njia rahisi ya kutengeneza backup ni kwa kutumia Recordable CD/DVD, kama una DVD writer basi mara moja moja unachukua DVD empty unadumbukiza data zako, jaribu kuweka backup copy mbali na original!! Haina maana kuweka backup copy kwenye begi la laptop! Likiibiwa vinaenda vyote!
Kuna software pia ambazo zinaweza kufanya backup kila baada ya muda fulani automaticaly, kuna za kununua na za bure.
Kama una data nyingi sana kiasi kwamba kuzichoma kwenye DVD inakua ngumu unaweza ukatumia external tape au harddrives.
Pia unaweza kufanya backup kwa kuweka vitu vyako online, kuna services za kulipia kama Online Backup, Data Backup & Remote Backup Solutions from Mozy.com â Welcome (2GB free!!) amabapo unaweza kuweka data zako. Kutumia service kama hizi inabidi uwe na mtandao wenye unlimited au high data limit. Hawa jamaa pia wanakupa software ambayo inabackup files zako kila baada ya muda fulani.
Njia nyingine ya kuweka vitu online ni kujitumia Documents mwenyewe, e.g kama una file moja unataka uibackup then itume kutoka email yako moja kwenda nyingine, tena siku hizi yahoo mail ina unlimited storage!
Niishie hapo for now, kama kuna maswali msisite kuuliza!
Kama unahitaji software jaribu Free Software Downloads and Reviews - Download.com unaweza kusearch za kununua au za bure ukikosa uliza humu ntajaribu kusaidia.
P.S: Kuandika kwa kiswahili kuhusu IT ngumu sana!!!

- Picha/video ulizochukua na digital camera. Kila ninayemjua ameibiwa laptop anakumbuka hizi kwanza! Irreplaceable!!
- Document ulizoandika kama ni essays au thesis etc nishawahi kuona tangazo limebandikwa shule la mtu amepoteza thesis yake ambayo ilikua kwenye flash drive.
- Kama kuna software muhimu ambayo hauwezi kuipata kirahisi.