Backups za computer zinauzwa bei gani

Windson

Senior Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
193
Reaction score
397
Habari wakuu,

Kama mnavyofahamu matatizo ya umeme yanakwamisha sana shughuli hasa zinazohitaji computers, naomba kuuliza kwa wale wanaozifahamu backups za computer je ni bei gani zinapatikana
 
Habari wakuu,

Kama mnavyofahamu matatizo ya umeme yanakwamisha sana shughuli hasa zinazohitaji computers, naomba kuuliza kwa wale wanaozifahamu backups za computer je ni bei gani zinapatikana
Hii ni tofaiti ya UPS mkuu? Kama ni UPS inakupa tu muda kidogo wa kusave kazi yako kama watumia desktop
 
UPS zipo ukubwa tofauti tofauti. Jinsi unanunua kubwa ndio uwezo wake wa kukaa chaji unaongezeka.

Wapigie MASUMIN wana toll free number japo beii zao si haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…