Bacteria wa chooni

Bacteria wa chooni

mwana ally

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
363
Reaction score
119
Wana JF naomba kuelekezwa. Eti ni kweli miswaki inabeba bacteria wakati tunavyoweka / kutunza miswaki yetu kwenye mabafu au kwenye choo (sehemu tunazoogea au kujisaidia).

Kwamba tukishamaliza kuswaki tunatakiwa kuweka sehemu safi na kavu tofauti na hizo hapo juu.
 
Suuza mswaki baada ya kuutumia na uweke eneo ambao utakauka na kupata hewa….Mswaki unatumia kusafisha meno na mdomo na mdomo umejaa bacterias...
 
Back
Top Bottom