Wana JF naomba kuelekezwa. Eti ni kweli miswaki inabeba bacteria wakati tunavyoweka / kutunza miswaki yetu kwenye mabafu au kwenye choo (sehemu tunazoogea au kujisaidia).
Kwamba tukishamaliza kuswaki tunatakiwa kuweka sehemu safi na kavu tofauti na hizo hapo juu.