Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Licha ya kuwa ni kazi inayompatia ugali wa kila siku ila sudy brown ni mmbea wa asili anakipaji cha umbea na anaupenda sanaa[emoji23]
Hahahahahaa,,,sasa asingekuwa na kipaji angewezaje hio kazi ya ukuda?
 
Sawa Ni kweli Sasa hivi utitiri wa redio ila bado nafikiri kama ni msikilizaji wa redio bado utakubaliana na Mimi kwamba clouds bado wako juu!

Mimi mwenyewe siungi mkono redio moja kucontrol future ya msanii ila kibongo bongo bado sana!
Ni mwaka tu umepita tangu ruby wampoteze kulikuwa na radio nyingi ila ndio hivyo!

Rama D amekaaa we ila amerudi!

Anyway lengo langu sio kuwapa kichwa clouds na kuwafanya wasanii wajione wapo chini!
Ila ni ukweli usiopingika Dogo janja hana fan base kubwa kiasi cha kutocare mahusiano mazuri Na hao akina soudy(clouds)

Ni mtazamo tu lakini nafikiri watachukulia poa tu mkuu
 
Sure ulichosema ila bado narudi palepale wanapaswa kuwa na adabu na privacy za watu inakuwa kama anataka kuolewa yeye bwana mda mwingine hawa watangazaji washajiona miungu watu huyu huwa hamchokonoi hemed phd ama tid umbeya wake anakalia kwenye kia lake anawachokonoa mwenyewe madhara yake ndo haya unategemea nn nao wanachoka ni binadamu
 
Naona Dogo janja ameamua nyimbo zake kutopigwa na clouds Sasa!
Promo ambayo huwa wanamfanyia Sasa ndo itakuwa mwisho......
time will tell
Namimi naliona hilo, unajua kwa sasa kipindi cha kina Soudy ni kati ya vipindi vinavyowapatia mpunga mrefu Clouds Media, na kwenye kipindi cha Shilawadu Soudy ndio key player so ukiharibu brand yake unaweza affect hata mvuto/mapato ya kipindi hivyo sidhani kama Ruge anaweza furahia hii ishu, dogo aombe msamaha haraka lasivyo inaweza mcost
 
[HASHTAG]#KLMY[/HASHTAG] ...... La Mama Yake
 
Na hilo Ndio naliona Mimi ingawa Kuna watu hapo juu wameona kama ninataka kumfanya Dogo awatetemekee clouds
 
Ukiona Mwanaume mbea Sana jua Kuna kitu kina mfanya awe mbeya hata kama huwez jadil personal issue ya mtu kisa wewe unaingiza pesa kumbuka unaweza kuua mtu Kuna wengne hawana uwezo WA kuhmili mishindo Hakuna Sheria inayokuta kujadili personal life ya mtu ukimkuta mtu mwingine anakudai fidia wewe unapata pesa mim Napata stress lazima nikufirisi shenzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…