Badala ya kujibishana na Mbowe ambaye si mbunge, Ndugai angetujulisha tu kama ruzuku ya ATCL aliipitisha hapo Bungeni

Badala ya kujibishana na Mbowe ambaye si mbunge, Ndugai angetujulisha tu kama ruzuku ya ATCL aliipitisha hapo Bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nakubaliana kabisa na Spika Ndugai kwamba hoja nyingine za uchaguzi ni ndogo ndogo lakini zinakuxwa tu.

Mfano Chadema wamepata hati safi lakini kuna zaidi ya tsh milioni 300 CAG amedai zimetumika bila kufuata utaratibu.
Maana yake ni kwamba fedha hizo hazijaibwa ila taratibu tu za kuhalalisha matumizi yake ndio hazikufuatwa.

Mimi nadhani jambo kubwa ambalo wananchi wangependa kujua ni Je ruzuku ya ATCL ya zaidi tsh 150 bilioni kwa mwaka zilipitishwa hapo bungeni!

Kama zilipitishwa, Je ni halali kwa serikali kuwakodisha ndege ATCL na at the same time wanawapa na ruzuku ya uendeshaji?

Ni hayo tu kwa uchache.

Ramadan Kareem!
 
Huyu Mzee wa Bandari ni muuaji
 
Back
Top Bottom