Badala ya kujibishana na Mbowe ambaye si mbunge, Ndugai angetujulisha tu kama ruzuku ya ATCL aliipitisha hapo Bungeni

Ilikua serikali ya ajabu sana, unatoa ruzuku ATCL halafu unachukua gawio toka ATCL[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ilikua serikali ya ajabu sana, unatoa ruzuku ATCL halafu unachukua gawio toka ATCL[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hahahaaaa......!

Ngoja tuone makeke ya mchumi first class pale Hazina!
 
Bwashee ushaanza kutumika na mabeberu toka ulaya?? 😅

Everyday is Saturday................................😎
 
Kwa spika huyu usitarajie kitu. linabaki kuwa bunge dhaifu kuliko mabunge yote yaliyowahi kuwepo tangu Tz 'iumbwe'. Na hii imetokana na uongozi dhaifu.
 
Ilikua serikali ya ajabu sana, unatoa ruzuku ATCL halafu unachukua gawio toka ATCL[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Labda mchumi Mwigulu atatupa ufafanuzi wa hili kichawa chawa
 
Haogopwi Bali supu ikizidi limao ongeza mchuzi kuondoa chachu.
Ndugai ni chachu mbaya ni sumu kuliko nyongo ya Mamba.
Ameshangia Sana kutuharibia readership yetu na nchi yetu.
'readership' sijui ni lugha gani??!! maana tanzania tunaaambiwa kuna makabila zaidi ya 120.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…