ila haya mambo ya kujifanya mtu wa BRAND kuna siku yalinitokea puani.
kuna siku nilikua nimeenda kununua ruffy rider ila sasa katika kupiga jicho nikaona zingine zinaitwa BAREBACK nikamwambia mchizi wa pharmacy naomba hizo bareback
jamaa akanipa alafu akanambia ww nakufahamu so sitataka ukienda sehemu nyingine wakufikirie vibaya nikamuuliza kwann.. akasema hizi bareback huwa wanatamia Gays daaaah nilichoka
nikamuuliza kwahiyo hapa ningeenda pharmacy nyingine kununua direct wangejua mimi ni mende au chakura akasema ndiooo ndomana nimekwambia ili usije ukaaibika siku nyingine
palepale nikamwambia sizitaki hizi nipe ruffy rider zangu mimi..
NOTE.. sio official kwa gays sema ndio huwa wanatumia sana hizo bareback yaani ni kama KY ilivyo ni lub ambayo inaweza kutumika ukeni lakni imezoeleka inatumika kwa wale wazee wa anal so ukinunua tu wanajua ndio michezo yako