Badala ya kutengeneza kina Drogba wa kwetu wenye dhamana wanagombea kupiga naye picha naona aibu!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Waswahili wana msemo wao kwamba usione vyaelea ujue vimeundwa

Ukweli ni kwamba nakereka sana kuona uongozi wa nchi yetu uko bize kupiga picha na Drogba raia wa ivory.

Ni lini na sisi tutatengeneza wa kwetu ili tuache ulimbukeni wa kushabikia na kushobokea wa wenzetu?
 
kwani kupiga picha kuna tatizo gani gentleman?
au kwasababau umekosa fursa hiyo bas unakereka na picha za waliopata fursa ya kupiga picha nae?

kwanini ujawe na chuki binafsi mbaya hivyo gentleman?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…