Houth wametangaza kuwa shambulio la leo kutoka jeshi la Marekani limelenga gereza ambalo wahamiaji haramu kutoka nchi za kiafrika huwa wanazuiliwa.
Jumla ya mahabusu wapatao 68 wameshathibitishwa kufa ambapo gereza hilo lilikuwa likiwashikilia wahamiaja hao zaidi ya mia moja.
Yemen kuna fursa nyingi ambazo wewe hujaweza kuzigundua kwa sababu wamevurugiwa na wazungu washenzi.Halafu hao wahamiaji nao hawakukusudia kubaki hapo walikuwa wanaelekea SaudiaKwa Mtu mwenye akili timamu sawa sawa kabisa hawezi kuhamia Yemen.
Kula mirungi ndio fursa?Yemen kuna fursa nyingi ambazo wewe hujaweza kuzigundua kwa sababu wamevurugiwa na wazungu washenzi.Halafu hao wahamiaji nao hawakukusudia kubaki hapo walikuwa wanaelekea Saudia
Milimani kwao kuna miti mingi ya madawa zile zinazoitwa dawa za kisuna na kiarabu.Ukichukua kuleta nyumbani utatajirika haraka.Hiyo moja tu ukifika utagundua mengi ambayo hayapatikani nyumbani ikiwemo mazao ya kilimo na mifugo hasa hasa ngamia.Kula mirungi ndio fursa?
wao wanajipigia tu..SUPER POWER MY FOOT hii karne kitaumana sana mpk kieleweke nani ni naniHouth wametangaza kuwa shambulio la leo kutoka jeshi la Marekani limelenga gereza ambalo wahamiaji haramu kutoka nchi za kiafrika huwa wanazuiliwa.
Jumla ya mahabusu wapatao 68 wameshathibitishwa kufa ambapo gereza hilo lilikuwa likiwashikilia wahamiaja hao zaidi ya mia moja.
Dozens killed in US attack on Yemen detention centre
The Houthi-affiliated Al Masirah TV is reporting that 68 people have been killed in the attack on the detention centre for migrants in northern Saada. Citing Yemen’s civil defence, it said 47 others were wounded. aljazeera
View attachment 3318646
Silaha zinazoitwa precise hazipo tena kwenye maghala yao.Wanajipigia tu.wao wanajipigia tu..SUPER POWER MY FOOT hii karne kitaumana sana mpk kieleweke nani ni nani