MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kila siku wanalala na viatuSuala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma...
Nani kakwambia Hawa waliopo ndo waliosimamia ukombozi kusini mwa afrika? we unaona mikakati yao yote inafeli kabla hawajaanza hiyo ni kumaanisha uwezo wao mdogo.Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma...
Wote hao Utopolo tu nani kwa mfano ni zero zero uoga mtupu wameexpire kichwani hamna kitu ccm Utopolo ndio Tanzania Utopolo habari ndio hio depreciating Tanzania. Political vibrancy ndio nguo ya ccm, Tanzania si ya mfano tena kwa mambo chanya ni maarumaarufu kwa mmomonyoko wa kisiasa, demokrasia na kikatibaNani kakwambia Hawa waliopo ndo waliosimamia ukombozi kusini mwa afrika? we unaona mikakati yao yote inafeli kabla hawajaanza hiyo ni kumaanisha uwezo wao mdogo.
ccm imebaki ccm mshumaa tu tangu lini ccm ikawa chama Chenye kuogopa ushidani? ccm imebaki Jina spiritually ishabakwa na kubatizwa upya. ccm kanda ya mashariki na pwaniCcm ni Chama mufilisi. Kama CCM NI Chama kiikongwe kwanini hakiweki mazingira sawa na vyama shindani ili Kama ni kushinda CCM iishinde kwa haki, na badala yake inategemea mbinu chafu na za hivyo ili ishinde?
Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria na kikatiba. Simameni mjibu hoja. Ninyi si chama kikongwe Africa? Ninyi si mlisimamia ukombozi wa kusini mwa africa? Uoga wa kujibu hoja mmeutoa wapi? Mmerogwa?