Badala ya muanze na mitaro, mnapotezea na stori za madanguro.

Badala ya muanze na mitaro, mnapotezea na stori za madanguro.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Screenshot_20231104_065426_X.jpg

Screenshot_20231104_065448_X.jpg

Screenshot_20231104_065503_X.jpg

20231104_065529.jpg

20231104_065647.jpg

Sawa chochote kinaweza kuwa priority, ila hii ya madhara ya mvua ndio ingepaswa iwe headline.

Sasa mnaleta stori za kuvunja madanguro 150 ili sasa ndio iwe habark ya mjini alafu wasahau kuulizia kuhusu maji kujaa mitaani kwao.

Kwanza mtafikaje huko mabondeni mabondeni na haya maji mengi hivi ambako ndio kuna vidanguro vingi vya uswahilini?

Bongo nyosoo, bongo balaa - mr blu
 
😂🤣Waanze tu
Ukweli lazima usemwe
Walivyo wapumbavu ,waliwasilisha maombi kwa raisi ,waongezewe eneo hapo wajenge uwanja😂wakajibiwa hapana
Wakapewa eneo kigamboni,mjimwema
Wameshindwa kujenga hadi leo,mwaka unaenda wa sita huu
Halafu wananiita timu tajiri😂🤣
Twende Bunju tukamalizie kujenga kule.
 
Picha nyingi ni za miaka ya zamani
 
Mkuu wa mkoa asiishie mwananyamala Tu Bali aende Hadi msasani,kinondoni Moscow,mikocheni A kisiwani,temeke hospital,temeke mikoroshini,tandika na mbagala rangi3.
Na akimaliza kubomoa majumba Yao aende kwenya bar ambazo wanajiuza kuanzia masaki, oyster bay na huku uswahili buguruni,ubungo na sehemu zingine
 
Kama tech viwanja hukengwa juu bahari hapo kuna shida gani ?.....usijifingie kwenye box akili zako....
Hela ya kufanya hayo timu yako Yanga haina,kufanya hivyo ni heavy infrastructure inayogharimu billions of money,yanga haina hiyo hela,ni timu maskini🤣😂
Mlimuuza mayele ndo mkapata visenti vya kulipa madeni ya mishahara ya wachezaji wenu,na kusajili kina Max zingeli ,mshamba toka lubumbashi🤣😂
 
Hujielewiiii
 
Mkuu wa mkoa asiishie mwananyamala Tu Bali aende Hadi msasani,kinondoni Moscow,mikocheni A kisiwani,temeke hospital,temeke mikoroshini,tandika na mbagala rangi3.
Na akimaliza kubomoa majumba Yao aende kwenya bar ambazo wanajiuza kuanzia masaki, oyster bay na huku uswahili buguruni,ubungo na sehemu zingine
😂🤣Aanze na buguruni kama yeye jasiri.
 
Back
Top Bottom