Badala ya muanze na mitaro, mnapotezea na stori za madanguro.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715






Sawa chochote kinaweza kuwa priority, ila hii ya madhara ya mvua ndio ingepaswa iwe headline.

Sasa mnaleta stori za kuvunja madanguro 150 ili sasa ndio iwe habark ya mjini alafu wasahau kuulizia kuhusu maji kujaa mitaani kwao.

Kwanza mtafikaje huko mabondeni mabondeni na haya maji mengi hivi ambako ndio kuna vidanguro vingi vya uswahilini?

Bongo nyosoo, bongo balaa - mr blu
 
😂🤣nimeliona jengo la Yanga
Eti ndo hapo injinia wao kilaza,uchwara anaomba waongezewe eneo wajenge uwanja🤣
Kama tech viwanja hukengwa juu bahari hapo kuna shida gani ?.....usijifingie kwenye box akili zako....
 
Twende Bunju tukamalizie kujenga kule.
 
Picha nyingi ni za miaka ya zamani
 
Mkuu wa mkoa asiishie mwananyamala Tu Bali aende Hadi msasani,kinondoni Moscow,mikocheni A kisiwani,temeke hospital,temeke mikoroshini,tandika na mbagala rangi3.
Na akimaliza kubomoa majumba Yao aende kwenya bar ambazo wanajiuza kuanzia masaki, oyster bay na huku uswahili buguruni,ubungo na sehemu zingine
 
Kama tech viwanja hukengwa juu bahari hapo kuna shida gani ?.....usijifingie kwenye box akili zako....
Hela ya kufanya hayo timu yako Yanga haina,kufanya hivyo ni heavy infrastructure inayogharimu billions of money,yanga haina hiyo hela,ni timu maskini🤣😂
Mlimuuza mayele ndo mkapata visenti vya kulipa madeni ya mishahara ya wachezaji wenu,na kusajili kina Max zingeli ,mshamba toka lubumbashi🤣😂
 
Hujielewiiii
 
😂🤣Aanze na buguruni kama yeye jasiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…