Badala ya Noti kwanini Serikali isitengeneze Mpesa yake?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Kwanini serikali isiunde mpesa yake ambayo watu watakuwa wanatumiana pesa na kufanya biashara bila makato yoyote. Yaani kama hivi wanavyofanya kwa noti.

Si litakuwa jambo la kimapinduzi sana ikifanya hivyo halafu baada ya muda noti zikaondolewa kwenye mzunguko.
 
Naishukuru sana serikali ya awamu ya sita kwa kuifanya simba kucheza kwa kiwango bora sana leo.

simba nguvu tatu first half
 
Cryptocurrency itakuja kufanya haya yote. Ni suala la muda tu
 
Yale makato ya uzalendo tutayapoteza.
 
nadhani umemaanisha digital currency km niko sawa ila kwani matumizi ya noti yana changamoto gani bosi mpk ziondolewe kabisa? digital currency iwepo ila noti ziendelee kutumika, privacy muhimu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…