The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Polisi wamekuja na mkakati mpya wa ajabu na wa kujivua nguo kuonesha kushindwa kwao kufanya jukumu lao la kikatiba na kisheria la KULINDA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO.
Sasa wanatafuta namna ya kutoka ktk aibu na fedheha waliyojibebesha wao wenyewe kwa kukubali kurubuniwa kwa kununuliwa na wanasiasa wa watawala ndani ya CCM ili watumie mamlaka yao ya kipolisi vibaya (abuse of police powers) kuteka, kuumiza na kuua wapinzani wa CCM kisiasa ili tu kufikia lengo lao la kushinda uchaguzi kwa njia za kilaghai na wizi wa kura huku police ikilinda uhalifu huo.
Huyu police hapa kwa kutumwa na wenzake, anachokifanya ni MPE MBWA JINA BAYA, KISHA MUUE......
Kwamba wanatafuta sababu za kuingilia ikibidi kuzuia kila program ya CHADEMA kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ikiwa ni pamoja na kukamata viongozi na kuwafungulia mashitaka ya uongo......
Huu ni sehemu ya mkakati uliokwisha kuanza tayari kwa kuteka, kutesa na kuua viongozi na wanaharakati wa kupigania haki wanaoiunga mkono CHADEMA kama Deusdith Soka, Sativa, Mbwana Kombo na wengine wengi.
Hebu mtazame na msikilize polisi huyu👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Kwa walio na elimu ndogo tu ya Human Psychology, wanaweza kumtambua mara moja kuwa anachokisema au kukisoma kama taarifa ni kuwa hana uhakika nacho, hakina fact details zisizo na shaka kuwa anachokisema kipo.
Lakini ndiyo hivyo. Haya ndiyo professional police wa Tanzania wanaweza kufanya. Hapa hakuna lolote. Hawa ni makada wa CCM waliovishwa sare za polisi na kufanya shughuli za kipolisi. Hawa ndio mchana polisi, wakitoka hapa wanavua sare na kuanza kuteka watu, kuwatesa, kuwaua kisha kuwatupa polisi na nyikani kama mizoga ya panya.
Kwa kifupi bila hata kusikiliza CHADEMA wanajibu nini, utajua tu kuwa taarifa yake ni ya UONGO tena UONGO WA KUTUNGA MCHANA KWEUPE sawasawa na uongo wa KESI YA UGAIDI WA MBOWE (2020/2021) iliyotungwa na hawahawa police Ramadhani Kingai na IGP wa sasa Camillius Wambura) na Kesi ya UGAIDI WA WILFRED LWAKATARE iliyotungwa na kina Mwigulu Nchemba wakati huo akiwa katibu wa itikadi na uenezi CCM.
Kesi hizo zote hizi zilikuwa shambulio dhidi ya kuiua na kuifuta kabisa CHADEMA lakini zote kwa msaada wa Mungu wa mbinguni, zilishindwa vibaya na CHADEMA ipo na inakwenda kuchukua dola la nchi hii... !!
Unaweza pia kutazama na kusikiliza reaction ya CHADEMA👇🏻👇🏻👇🏻.....
Na mimi niwapongeze CHADEMA kwa kuharakisha kujibu tuhuma hizi za ajabu na uongo toka kwenye chombo tunachoamini kiwe namba moja kusimamia sheria na katiba kwa haki na usawa kwa kila mtu na kwa kila taasisi. Lakini kwa jinsi mambo yalivyo sasa, ni wazi kuwa JESHI LA POLISI sio tegemeo tena la kulinda usalama wetu kwa sababu limeshakuwa scrambled and compromised na uhalifu na uovu. Hawa ndiyo majambazi na magaidi yenyewe kwa jina la POLICE.....!!
Lakini inashangaza sana kuwa baadhi ya maafisa wa Jeshi la polisi wenye mamlaka ya kutoa amri na maelekezo ya utendaji kazi wa kila siku wa walio chini yao wamegeuka kuwa mawakala wa shetani wakikandamiza haki kwa kuwateka watu, kuwatesa na kuwaua na kisha kuwatupa kama mizoga ya ndege porini au nyikani.
Makosa ya hawa watu wanaoteswa na kisha kupigwa risasi na kuuwawa eti ni kwa sababu tu ni wakosoaji wa viongozi wa CCM na serikali yao dhidi ya sera na mipango yao ya hovyo kwa nchi hii iliyoshindwa kuleta mabadiliko na maendeleo endelevu kwa kasi inayotakiwa.
HII HAIKUBALIKI HATA KIDOGO. NI LAZIMA TUPAMBANE NAO NA KWA MSAADA WA MUNGU ALIYE HAI TUTASHINDA LAZIMA......