ibhututu
Member
- Aug 12, 2017
- 9
- 6
Nimepost kuhusu kutafuta mchumba ambaye awe mke,lakn wengi wanaojitokeza wanataka urafiki tu.Mimi ni mtu mzima sitaki ma girl frnd ila nataka mchumba mwenye nia na utayari wa kuwa mke na kufanya maisha,awe mrefu,mfanyakazi au mjasiriamali 0623917739
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app