Badili kile ULICHONACHO kua UNACHOKITAKA!!!

Lizzy...nyie wanawake ni wabishi na sasa nakula bata na small house na ananipa kila nitakacho na mimi nampa huduma nzuri..wife yy kazi domo 2.
 

Kila anayeoa au kuolewa au kuwa katika mahusiano anapata kile alichokiona; ndio maana ni muhimu kutojificha ulivyo kabla hamjazama kwenye mahusiano ili mwenzio aweze kujua mapema kabisa ni mtu wa aina gani anaingia naye kwenye mahusiano. Kwa mfano, kama binti hapendi mtu wake anavyovaa na hasemi toka mwanzo halafu jamaa akishazama sana ndio anaanza "sipendi cheni yako, kwanini unanyoa kipara n.k" mtaanza mgongano. Kama msichana hupendi kupika mwanzoni unajifanya unapenda kupika halafu mbele ya safari unaanza "kwanini wewe mwenyewe hupiki" mtaanza mgongano!

Binafsi siamini watu wanaweza kubadilika kuwa vile ambavyo hawako; waliosema kuwa "samaki mkunje angali mbichi" walimaanisha kuwa nafasi ya kumtengeneza mtu (molding) hufanyika wakati bado tuko vijana wadogo tukipata umri fulani hatuwezi kubadilika tena na tutakuwa hivyo hivyo hadi uzeeni! - isipokuwa kwa neema ya Mungu! Nje ya neema ndio imekula kwetu. Tujifunze kuishi na vile tulivyovichagua kwani kila uchaguzi una gharama yake!
 
Lizzy una maelezo marefu sana, nakushauri uwe unajaribu kupunguza urefu wa maelezo yako kwa kuandika short and clear ili tuweze kupata muda wa kusoma na thread za watu wengine, maana sio kila mtu anaweza kukaa kusoma maelezo ya thread moja tu
Ni ushauri tu
 

Hapo kwenye red sio kweli.....wengi hua wanaonyeshwa wanachokitaka ila baadae wanagundua sicho walichokipata.Na kuhusu kutokujificha kweli ni muhimu ila wengi wetu wanaficha ukweli mpaka wanapopata uhakika kwamba wameopoa au wameopolewa.Kinachotakiwa hapo ni watu kuchunguzana kabla hawajaelezana nini wanataka.
 
Heheheheh....ntafuata ushauri!!!
 

Hapo kwenye bold inaonyesha wewe ume-experience sana nyumba ambazo zinabomolewa kwa vyanzo kuwa wanaume, nadhani ungesema NAZUNGUMZIA WANAUME WANAVYOWAWEZESHA WAKE ZAO KUBOMOA NYUMBA ZAO badala ya ulivyoandika

Wapo wanawake ambao tamaa zao za vitu mbalimbali vya nje ya ndoa husababisha wabomoe nyumba zao wenyewe hasa pale ambapo wanaume wanakuwa wamefukuzwa kazi, au ana kipato duni tofauti na awali wakati wanaanza maisha.
So labda tugeukie kwa nyumba ambazo zinabomolewa kwa uanzilishi wa wanaume . . . .:coffee:
 
Lizzy...nyie wanawake ni wabishi na sasa nakula bata na small house na ananipa kila nitakacho na mimi nampa huduma nzuri..wife yy kazi domo 2.

Hivi small house sio wanawake ehhh????
Ungekua unamfanyia mkeo unayomfanyia small house naye angekufanyia zaidi ya unayofanyiwa na small house!!!
 


kweli lakini bado siamini kuwa mtu anaweza kubadilika mbele ya safari.
 

Red and bolded....not really!!Swala la kubomoa na kujenga linazingatia factor nyingi sana...moja wapo ikiwa mmoja kumbadilisha mwenzake kwa kiasi ambacho kinaweza kuja kuinfluence mambo mengine au hata tabia yake yeye mwenyewe baadae in this case MWANAUME!!.
Hapa mwanaume anaweza kumfanya mwanamke akawa bitter ambayo baada ya muda itamfanya mwanaume awe distant and vice versa!
Kuhusu mchango wa mwanamke katika kuharibu upo na ndio maana nilimalizia kwa kuwaasa dada zangu pamoja na mimi!!
 
Wandugu mimi mnapongelea nyumba ndogo nashindwa kuelewa wanaume kuwa na nyumba ndogo ni tabia tu sio kwakuwa mwenzake ni mchafu au sijui kwenda kwa majirani mvivu hisio kweli kama ulimuoa kwa mapenzi basi uchafuwake ni asali uvivuwake ni utam tupu nayeye hawezi kwenda kwa jirani kama kuna upendo akijua sahizi jama anakuja atarudi kukungoja labda niwajuze tu mimi mkewangu bwana hafanyikazi nikiwepo home kwakuwa ni tundalangu napika napakuwa hata aje baba yangu ntapika mkewangu ataanda vinginevyo ntamsafishia nyumba na watoto wetu wanashughuli zao malum japo siwakubwa sana, tatizo sisi wabongo tunajifanya kichwa juu lakini utakuta jitu kwake simba nyumba ndoa hadi chupi badala yakufua ya mkeo unafua ya hawara looo
 
Naam this is getting better....!!

Unajua ninachoamini...., Kwamba Love is about giving.. bila hata kutegemea receiving at all...., utauliza kwanini nasema hivyo..

Binafsi I dont like anyone to sacrife anything for me..., lakini because I love her I will sacrifice things for her, the point being I would not like her to do anything she would not do otherwise for my sake.., therefore I would not like to change her, I had rather accept her differences so long as I knew she had them when we met, unaona sitapenda nipunguze hata chembe moja ya furaha yake kwasababu tu jambo hilo linifurahishe mimi, I will possible try to live around the differences badala ya kumbadilisha mtu awe ambavyo sivyo....
πŸ˜›opcorn:πŸ˜›opcorn:πŸ˜›opcorn:
 

mmmhhhh 1/100......,sometimes i think you are an angel......sometimes too good to be true.....yaani i keep imagining the personality in you.....
Anyway,let me live my life.......:laugh::laugh::laugh:
 

Heheheheh okeeyyy....kwa mfano ukimkuta ni mwizi utapenda aendelee???Mbea mpaka anasutwa na mtaa je?Muongo sana???
Kuna vitu na vitu bwana...na kama unavyosema wewe utaacha au utafanya vitu kwaajili yake inabidi na yeye awe na mawazo hayo hayo!!After all...you can't be the only one giving...you have to meet somewhere in the middle!!!
 
mmmhhhh 1/100......,sometimes i think you are an angel......sometimes to good to be true.....yaani i keep imagine the personality in you.....
Anyway,let me live my life.......:laugh::laugh::laugh:

Yani this bwoi right here is very IDEAL!!!
 
Yani this bwoi right here is very IDEAL!!!

Kuna wanaume wanaweza badili viapo ulivyoweka Lizzy......ntamuanzishia thread...nimjadili weeeee,kitaeleweka tu.....l.o.l
Lizzy if you are still single.....i will advise you something.....:coffee:
 
Kuna wanaume wanaweza badili viapo ulivyoweka Lizzy......ntamuanzishia thread...nimjadili weeeee,kitaeleweka tu.....l.o.l
Lizzy if you are still single.....i will advise you something.....:coffee:


Yani wala sipingi.....ndo wale wanaotoa nyoka pangoni tena sio kwa sauti ya uongo!!
Hehehehe....embu nishauri dearest!!!!:couch2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…