Badili laini yako ya kawaida kuwa ya Uwakala

Kilanga komo

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
337
Reaction score
290
Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu)

Vigezo na mashariti
1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA
2. Uwe na TIN number

Huduma popote ulipo Tanzania inakufikia, Malipo baada ya Kazi au Unaweza kuja Kigamboni.

Whatsapp: 0620523897
Au nicheki PM au Comment "Nataka"

Vigezo na mashariti kuzingatiwa
 
Attachments

  • images (37).jpeg
    images (37).jpeg
    32.4 KB · Views: 11
Huyu mtu katuponda sana mawakala, lakini sio wote wengine ni waaminifu
 
Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu)

Vigezo na mashariti
1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA
2. Uwe na TIN number

Whatsapp: 0620523897
Au nicheki PM au Comment "Nataka"

Vigezo na mashariti kuzingatiwa
Sawa
 
Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu)

Vigezo na mashariti
1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA
2. Uwe na TIN number

Huduma popote ulipo Tanzania inakufikia, Malipo baada ya Kazi au Unaweza kuja Kigamboni.

Whatsapp: 0620523897
Au nicheki PM au Comment "Nataka"

Vigezo na mashariti kuzingatiwa
Kama wewe wakala tu na gharama ni 10,000 je ukienda ofisini kwao ni kiasi gani!!?
 
Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu)

Vigezo na mashariti
1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA
2. Uwe na TIN number

Huduma popote ulipo Tanzania inakufikia, Malipo baada ya Kazi au Unaweza kuja Kigamboni.

Whatsapp: 0620523897
Au nicheki PM au Comment "Nataka"

Vigezo na mashariti kuzingatiwa
Niambie nitafaidika vipi na hio line
 
Niambie nitafaidika vipi na hio line
Hii ni ya biashara kutuma Haina makato kupokea kutoka kwa wakala mwengine Haina makato (Floti) pia kama utatumia kufanya transactions (miamala ya kuweka na kutoa kwa wateja) mwisho wa Mwezi unalipwa (commissions) kulingana na thamani ya miamala uliofanya. Natumaini nimekujibu Vizuri
 
Back
Top Bottom