Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu)
Vigezo na mashariti
1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA
2. Uwe na TIN number
Whatsapp: 0620523897
Au nicheki PM au Comment "Nataka"
Vigezo na mashariti kuzingatiwa
Huyu mtu katuponda sana mawakala, lakini sio wote wengine ni waaminifuHackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA
Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA Kadi za bank Passwords nk Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za...www.jamiiforums.com
I ain't IT anywayHackers wametapakaa mitaani: Makinika na simu zako na kitambulisho chako cha NIDA
Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA Kadi za bank Passwords nk Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za...www.jamiiforums.com
Kwa kweli ni kama asilimia 10% inawachafulia majina wengineHuyu mtu katuponda sana mawakala, lakini sio wote wengine ni waaminifu
Tuchapeni kazi tu, uzuri kazi zinaonekana ukitoa huduma kwa wateja.Kwa kweli ni kama asilimia 10% inawachafulia majina wengine
Daah kweli mkuu changamoto ni nyingi lakini hakuna namnaTuchapeni kazi tu, uzuri kazi zinaonekana ukitoa huduma kwa wateja.
Tupambane
SawaTunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu)
Vigezo na mashariti
1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA
2. Uwe na TIN number
Whatsapp: 0620523897
Au nicheki PM au Comment "Nataka"
Vigezo na mashariti kuzingatiwa
KaribuSawa
Ushapata bado kupokea mkuu😊. NichekiNataka
Kama wewe wakala tu na gharama ni 10,000 je ukienda ofisini kwao ni kiasi gani!!?Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu)
Vigezo na mashariti
1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA
2. Uwe na TIN number
Huduma popote ulipo Tanzania inakufikia, Malipo baada ya Kazi au Unaweza kuja Kigamboni.
Whatsapp: 0620523897
Au nicheki PM au Comment "Nataka"
Vigezo na mashariti kuzingatiwa
Niambie nitafaidika vipi na hio lineTunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu)
Vigezo na mashariti
1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA
2. Uwe na TIN number
Huduma popote ulipo Tanzania inakufikia, Malipo baada ya Kazi au Unaweza kuja Kigamboni.
Whatsapp: 0620523897
Au nicheki PM au Comment "Nataka"
Vigezo na mashariti kuzingatiwa
Swali gumu mnoKama wewe wakala tu na gharama ni 10,000 je ukienda ofisini kwao ni kiasi gani!!?
Hii ni ya biashara kutuma Haina makato kupokea kutoka kwa wakala mwengine Haina makato (Floti) pia kama utatumia kufanya transactions (miamala ya kuweka na kutoa kwa wateja) mwisho wa Mwezi unalipwa (commissions) kulingana na thamani ya miamala uliofanya. Natumaini nimekujibu VizuriNiambie nitafaidika vipi na hio line
Akijibu ni tagSwali gumu mno
Sawa bossAkijibu ni tag
Boss kimyaa..!Niambie nitafaidika vipi na hio line
Insha Allah ntakuchekBoss kimyaa..!