sima salva official
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 210
- 89
Hii ingekuwa poa zaidi kama ungemuendea IG moja kwa moja muhusika .nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Zinafanya hadi akili kuwa nyeupe.Kweli kabisa huenda hizo bleach ndiyo zinamvuruga akili kabisa
Picha plz,huyo ni nani? Mwanasiasa aunipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Naunga Mkono.Nipende kumwambia harmonize abadili mtindo wake wa kuweka brich kwenye nywele zake yaan awe na nywele zake tu ndo anapendeza zaidi[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Yaani na ule ufupi na vile kilivyotuna tuna kama muimba lingala aiseee
Nimecheka sina mbavu!Yaani na ule ufupi na vile kilivyotuna tuna kama muimba lingala aiseee