Badili tabia zako na mtazamo wako ufanikiwe

Tiba salama

Member
Joined
May 20, 2018
Posts
28
Reaction score
24
.
"Huwezi kujiamulia maisha yako ya baadae,
Bali una uwezo mkubwa wa kuamua kubadili tabia zako za sasa, kisha tabia zako ndizo zitakazokuamulia maisha ya ubadae wako".

KIVIPI?

Je, tabia zako zinakusaidia wewe kutimiza malengo ya mafanikio yako?
Je, watu unaoongea nao na kushinda nao kila siku wanakusadia au kutoa mchango wao wa eidha moja kwa moja au mbadala kiasi gani kukuinua wewe ili uishi maisha ya furaha na mafanikio?
Je, mtazamo wako na maneno unayoyaongea kila wakati, yanakutia nguvu na hamasa ya kusimamia na kutekeleza malengo yako ya kila siku ili uweze kufikia kilele cha mafanikio na maisha unayotamani kuyaishi miaka 2, 5, 10 au 20 ijayo?

Rafiki yangu na ndugu yangu, mtazamo wako, tabia zako na mienendo yako ya kila siku, ndio jaji mkuu wa mafanikio yako ya sasa na ya baadae.

AMUA KUBADILIKA KUANZIA LEO, MWAMUZI WA MAISHA YA UBADAE WAKO NI WEWE MWENYEWE.

Mimi nimeshabadili kuanzia tabia na mtazamo wangu 100% na sasa mafanikio nimeanza kuyaona,
Na kuna kazi nafanya ambayo hata wewe naweza kukufundisha na ukaweza kama mimi na kuanza kujiingizia kipato cha uhakika kama mimi.

JE UTAPENDA NA WEWE NIKUFUNDISHE?

Basi njoo kwenye Semina inayoendeshwa kwa mda wa siku tano itakayo kupa mwanga na njia ya wewe kuyaendea mafanikio.
Ni kila siku kianzia tarehe 8.10.2018 hadi tarehe 12.10.2018.
Muda ni kianzia saa 8 mchana hadi saa 11 jioni
Mahali ni MLIMANI TOWER.
Mawasiliano kwa wanaokuja
0659505081.
 
Usijali Kaka..... Wengine watakuja kuchangia pia usivunjike moyo
 
Uliyoaeleza ni ya kweli na sahihi kabisa 100% but hapo kwenye hyo bold ndo shida naona ni mbuzi kula kadri ya urefu wa kamba yake.

Humu ndani wanasema ukiitwa kwenye fursa...........
 
Network marketing hii bila Shaka, hizi hua naona sio productive kabisa, mambo ya kushauriana kuacha kufanya kazi za maana na za kujenga taifa, mnashauriana mtafute watu wajiunge ili upewe pesa kirahisi, hi sio kabisa
 
Uliyoaeleza ni ya kweli na sahihi kabisa 100% but hapo kwenye hyo bold ndo shida naona ni mbuzi kula kadri ya urefu wa kamba yake.

Humu ndani wanasema ukiitwa kwenye fursa...........
  • Jua wewe ndiye fursa.
 
Si useme tu kiingilio
 
Network marketing hii bila Shaka, hizi hua naona sio productive kabisa, mambo ya kushauriana kuacha kufanya kazi za maana na za kujenga taifa, mnashauriana mtafute watu wajiunge ili upewe pesa kirahisi, hi sio kabisa
Hakuna anae kwambia uache kazi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…