Antony Abel
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 264
- 142
Sultan ni rafik yangu kwa muda mrefu sana yan nimesoma nae chekechea mpaka darasa la 7 nikasomanae sekondar hapo ndio tukatofautiana yeye kaendelea na masomo ya juu mimi nikaingia kwenye mishe yangu.
Basi mawasiliano yakaendelea kufanyika had kamaliza masomo na akawa kaajiliwa baada ya kuajiliwa kachukua mkopo na huo mkopo ameutumia kwa kununua vitu vya ndan akisema kuwa akipokea atalipa.
Ndipo nilipo mwambia kuwa Sultan ww ni mpumbavu yaan badala yake kuchukua mkopo na kwenda kuweka vitega uchumi wewe unanunua vitu vya ndani?
Akawaka unaniita mimi mpumbavu yan unanitukana rafiki yangu? Nikamjibu kuwa neno mpumbavu sio tusi bali nineno analostahili kuambiwa mtu asie kuwa na fikra.
KAMA NA WW NI MIONGONI MWA SULTAN BASI BADILIKA.