INAUZWA Badilisha Old subwoofer au speaker isiyokua na Bluetooth na kuifanya kua Bluetooth party speaker kwa kutumia kifaa hiki hapa.

Elon Mzebuluni

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
225
Reaction score
139
Habari!!
Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa
Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara.
Napatikana Mbeya.
Mikoani tunatuma ukihitaji utaletewa ulipo.
Asante.
usb-bluetooth-stereo-music-receiver-3-5mm-adapter-dongle-for-500x500.jpg
IMG_20191016_184237_538.JPG
Screenshot_20191016-184404.png
 
Habari!!
Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa
Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara.
Napatikana Arusha.
Mikoani tunatuma ukihitaji utaletewa ulipo.
Asante.
Hicho kidude kinafanya kazi kwenye njia ya earphone?
Mkuu niko Moshi now sema nina 10 tunafanyaje?
 
Mkuu niko Moshi now sema

Hicho kidude kinafanya kazi kwenye njia ya earphone?
Mkuu niko Moshi now sema nina 10 tunafanyaje?
Ndio kinafanya kazi kwenye njia ya earphone, ukisha plug in kwenye njia ya earphone na kwenye port ya USB kinakuwa tayari Kwa matumizi.
 
Back
Top Bottom