Elon Mzebuluni
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 225
- 139
Huwa inayo, yako ni ya aina gani?Hivi DVD home theater inayo bluethoos?
OkayHuwa inayo, yako ni ya aina gani?
SimsangHuwa inayo, yako ni ya aina gani?
Napatikana Arusha mkuumkuu unapatikana wapi
Napatikana Arusha mkuu
Mikoani tunatuma ukihitaji utaletewa popote ulipo
Ngoja niulizie kwenye mabasi kesho nikupe jibukwa dodoma mjini itagharim sh ngp kwenye usafir
TZS 5000.kwa dodoma mjini itagharim sh ngp kwenye usafir
Yes boss, zipo karibu! Inbox tuone tunafanyaje.Bado hizo bidhaa zipo i need one niko Dar kwa sasa
Ndio mkuu inasapoti.Mkuu nina home theatre ya sony ila haina bluetooth,, inasapoti?
Niko jiran tu hapa
Hicho kidude kinafanya kazi kwenye njia ya earphone?Habari!!
Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa
Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara.
Napatikana Arusha.
Mikoani tunatuma ukihitaji utaletewa ulipo.
Asante.
Vipi ukikipunch kwenye port ya usb direct hakifanyi kazi?Habari!!
Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa
Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara.
Napatikana Arusha.
Mikoani tunatuma ukihitaji utaletewa ulipo.
Asante.
Hicho kidude kinafanya kazi kwenye njia ya earphone?
Mkuu niko Moshi now sema nina 10 tunafanyaje?
Hicho kidude kinafanya kazi kwenye njia ya earphone?
Mkuu niko Moshi now sema
Ndio kinafanya kazi kwenye njia ya earphone, ukisha plug in kwenye njia ya earphone na kwenye port ya USB kinakuwa tayari Kwa matumizi.Hicho kidude kinafanya kazi kwenye njia ya earphone?
Mkuu niko Moshi now sema nina 10 tunafanyaje?
Kinafanya kazi mkuu.Vipi ukikipunch kwenye port ya usb direct hakifanyi kazi?