Inategemea mliachanaje. NA pia inategemea mnazungumzajeUkiona manyoya.......
Inategemea mliachanaje. NA pia inategemea mnazungumzaje
Ex wengine ni family/ Family friends/colleagues wa kazini etc.
Muhimu ni kuhakikisha the new guy anajua mnawasiliana kivipi
kwa nini Ex's wanaonekana kama laana??
Ina maana hakuna mtu anaweza wasialana na Ex bila ngono??
Kuna ajabu gani kuomba ushauri kwa Ex, kwani mtu akishakuwa Ex busara zinaondoka??
Maovu huanzia kichwani, kama ni kwa kuliwa ataliwa hata na bata mzinga.
well, ni mtazamo. katika haya mambo you can't be wrong or right,In my book either way is just bad and not healthy for the relationship.
Inategemea mliachanaje. NA pia inategemea mnazungumzaje
Ex wengine ni family/ Family friends/colleagues wa kazini etc.
Muhimu ni kuhakikisha the new guy anajua mnawasiliana kivipi
well, ni mtazamo. katika haya mambo you can't be wrong or right,
hadi pale mmoja anapo anza kugeuka makubaliano ya mwanzo.
well, ni mtazamo. katika haya mambo you can't be wrong or right,
hadi pale mmoja anapo anza kugeuka makubaliano ya mwanzo.
Ni kweli, haya mambo hayana wrong wala right.
Ni makubaliano tu ya wewe na huyo mwenza wako.
Shida yangu ni jinsi ya kukubaliana??
Yaani wewe NN, mdawa wako anakukalisha chini na kukupa roadmap yake na ex wake na jinsi watakavyokuwa wanapeana ushauri au inatokeaje hadi mkubaliane??
Just knowing kwamba she had ex BF, kwangu inatosha ingawa ni kibarua kizito zaidi ya kubeba zege la kumwaga jamvi la ghorofa ya 10!!
Babu DC!!
Hahahaaaa...
Hapana, mimi kwangu huo ujinga ni no-no.
Na kwanza hawezi hata kuthubutu ku-float hiyo idea maana anajua matokeo yake yatakuwaje.
Ila amini usiamini wapo watu ambao kwao ni poa tu.
Unakuta mdada anawasiliana na jamaa yake wa zamani na mkaka naye anawasiliana na makoloni yake ya zamani bila mwenza wake kuwa na tatizo lolote.
Hii dunia hii acha bana. Watu wanafunga ndoa na wacheza picha za ngono sembuse kuwasiliana na ma ex? Hebu jenga taswira tu hata wewe mwenyewe....eti mkeo ni former porn star!
Watu tumeumbwa tofauti sana aisee.
Mhhhhh... Kongosho,
Ina maana huoni ubaya wowote?
Hivi unajua kwa nini matangazo ya biashara hurudiwa rudiwa kila mara??
Babu DC!!
Pole sana mkuu! huwa si vizuri. Ingawa mi sijui hata machungu ya ex maana tulianzana wote tukiwa wabichi.
Ila nikuambie ukweli kama mwanamke wewe ndo wa kwanza kwake hatokusahau....... Mi mpenzi wangu kuna siku nilimchokoza nikamwambia hivi siku tukiachana na umeshapata mpenzi halafu tukaja onana tena utafanyaje? Na nikikuambia Nimemic mambo yako utafanyaje?
Hehehe! Aibu zikamjaa mara oh usiseme hivyo mpenzi, mi sitaki bhana maneno yako ya kichokozi. Nikambana Akaniambia TUTA.....KUMB....SHI.... Full Aibu na kufunika Uso wake Kifuani kwangu
ni kawaida kweli kuwasiliana na ex wako na kupeana ushauri?
Babu Dark City, kukosa uaminifu kwa mwenza wa sasa hakuhusiani na mie kuwasiliana na EX
Uaminifu uko ni heshima yangu, hata kama sio Ex bado naweza kosa uaminifu vile vile.
Anyway, siwezi wasemea wote, ila kwa mie sioni ubaya wa kuwasialana na EX, labda kama mwenza wa sasa awe 'insecure' hapo naweza niache wasiliana naye.
Hujawahi jikuta kwenye situation ambayo mtu anayeweza kukusaidia ni Ex?
Ha ha ha ha, Babu DC, no comment
Umekataa kwa nguvu zako zote na akili zote.
Babu una moyo wa biskut kwa bibi DC wewe.
No offense , ila she sounds so cute aisee...