Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kwanza Mimi siwezi kuuita uchaguzi wa serikali za mitaa kama hauna mandatory ya kisheria juu ya wasimamizi. Ni mpumbavu pekee atatetea Tamisemi kusimamia uchaguzi ingawa hakuna uwazi na mkuu wake akiwa mwanachama wa CCM. Waziri wa TAMISEMI ni mwanachama wa CCM na kwa Sheria za ushindani na uwazi hawezi kuplay fair never. Tumeanza kuonana uhuni wa Hawa watumishi mizigo wa taifa letu kuleta uhuni. Sasa mawzo ni haya tu achaneni na mambo ya uchaguzi kama 2019 wachaguane wenyewe muda ndiyo utakuja kuamua Nini Cha kufanya.