A Albert sawe Member Joined May 31, 2013 Posts 10 Reaction score 1 Jun 10, 2013 #1 Hivi unafikiri kupandisha madaraja ya kufaulu ndio kupandisha hali ya ufaulu kwa wanafunzi pamoja na hayo yote je! Maisha bora kwa kila mtanzania yatatoka wap kwa hali hii?
Hivi unafikiri kupandisha madaraja ya kufaulu ndio kupandisha hali ya ufaulu kwa wanafunzi pamoja na hayo yote je! Maisha bora kwa kila mtanzania yatatoka wap kwa hali hii?
A Albert sawe Member Joined May 31, 2013 Posts 10 Reaction score 1 Jun 10, 2013 Thread starter #2 Jamani 2fanye nn watanzania kujikomboa kielimu
Kimetah JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 1,049 Reaction score 189 Jun 10, 2013 #3 Albert sawe said: Jamani 2fanye nn watanzania kujikomboa kielimu Click to expand... jikomboe peke yako kwa kuweka mazingira mazuri ya kuelimika na kuelimishwa,
Albert sawe said: Jamani 2fanye nn watanzania kujikomboa kielimu Click to expand... jikomboe peke yako kwa kuweka mazingira mazuri ya kuelimika na kuelimishwa,
F frey nuroye Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jun 11, 2013 #4 tatizo ni wanwfunzi na sio baraza