Bado hatujamkubali Timbulo?

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
640
Aliponza tulisema anacopy nyimbo, ingawa hata hivyo aliziimba vizuri.
Kwa huu wimbo mpya wa Samson na Delila dogo kaimba fresh, hata kama itatikea ameucopy.

Sali ni je bado dogo hatujamkubali?
 
Aliponza tulisema anacopy nyimbo, ingawa hata hivyo aliziimba vizuri.
Kwa huu wimbo mpya wa Samson na Delila dogo kaimba fresh, hata kama itatikea ameucopy.

Sali ni je bado dogo hatujamkubali?

nitaupateje mkuu?
 
mzee wa kukopy na ku paste nyimbo huyo..
 
Aliponza tulisema anacopy nyimbo, ingawa hata hivyo aliziimba vizuri.
Kwa huu wimbo mpya wa Samson na Delila dogo kaimba fresh, hata kama itatikea ameucopy.

Sali ni je bado dogo hatujamkubali?

Ushasema ni timbulo sasa unataka watu wamuamini vp? Wimbo wake wa kwanza aliutoa zamani lkn haujashika hata kwenye 3000 bora,ndio alipoanza kazi yake ya utimbulo wa nyimbo za watu,ngoja tuingie youtube tutaupata tu huu wimbo wake mpya!

Huyo Jamaa ni bingwa wa kucopy!
 
dogo anajua kumiliki steji namtabiria atakuja kukamata kiaina!
 
Hata atunge wimbo wa taifa mpya mi bado sijamkubali wala nini.
Arudie tu kufundisha chekechea buguruni.
 
Hata atunge wimbo wa taifa mpya mi bado sijamkubali wala nini.
Arudie tu kufundisha chekechea buguruni.

Vipi kama wangetokea watu kadhaa wakaamua kukukatisha tamaa kwa kila kitu unachofanya, ungejisikiaje mkuu?

Kwamba, hata ukifanya vizuri namna gani, wao wakuambie hata ufanye nini hutafanya kitu kizuri machoni pao?

Yaani, kwa tafsiri nyingine ni kwamba wao hawataki maendeleo yako kwa vyovyote vile, hao watu ungewaita wana roho gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…