Mkifanikiwa mkazeeka hivo lazima mapenzi yarudi tu, maana na uzee huo utaenda wapi, japo vidume huwa bado vinakomaa, kama yule play boy, hvi keshaoa kale kabinti?
Hapana kuoa umri huo nouma sihauri mtu,ila tu nawashauri wale ambao bado hawajapata bado wawapendao wasikate tamaa bado hawajachelewa waendelee kutafuta.