Bado hujaona vyote duniani wewe

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kama unafikiri Dunia hii umeona kila kitu, hapana. Ona hii;

"Aliyeokoa anaenda kufundishwa uokoaji na waliyoshindwa kuokoa."

'Made in Tanzania'. [emoji1241]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni.
Nchi hii ngumu sana

Huyu kijana ni Mjasriamali.Kwa nini mnataka awe Mwanajeshi ?Kama ni mtoto wa RC au Waziri hivi ndivyo mngefanya ? Mpeni heshima na mtaji wa kukuza kazi zake.Heshima itunze ndoto yake.Naona kama mna mpeleka speed sana shujaa wetu. Atakuja sema Yes kwa vitu alivyo takiwa kusema No
 
Walivyo "wajanja" unaweza kukuta dogo ndiye anaenda kuwa mkufunzi wao.😂😂😂
 
Wangemnunulia japo fibre boat imsadie ktk shughuli zake za uvuvi wa dagaa..
 
Hii nchi imejaa usanii na vioja sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utashangaa hata wale makomandoo wa mchongo wanaovunja matofali ya mchanga ukiwaweka ulingoni wanaweza kupigwa hata na mlevi wa gongo[emoji1787]
Hata wale madogo wa panya road isingekuwa bunduki wanaweza kuwachapa makomandoo wetu wa maonyesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mvuvi Majaliwa alifanya kwa freewill bila ya kuongozwa na yeyote.. Huko alikopelekwa kapelekwa store atafanya kazi chini ya maelekezo ya wakubwa!
 
Mshana Jr, tunajua wazi kwamba ili taifa lolote liendelee, linahitaji watu,siasa safi, uongozi bora na ardhi. Tanzania hatuna watu tuna mijitu
 
Yes shughuli za kuzika watu tuliosababisha wafe ndio tumekuwa bora,naona wanajeshi wamevalia combat, vazi ambalo few day's ago hawakulifanyia haki, nilitegemea kuwajibika kwa viongozi sio hii colorful sends off ya watu ambao tungewanusuru, mazuzu watafurika uwanjani na few hrs later maisha yatarudi back to normal,.......definitely flight box ipo ndani ya ndege, weather report ipo pale air controllers towel, CVs za pilots na 1st officer waajiri watakua nazo, nasubiria uchunguzi wa kisayansi of what went wrong on that fateful day
 
 
Hizo sentence tatu za mwisho zinanifanya nione ile sinema yetu inaendelea, rip kwa waliofariki ila why walikua wamepakizwa kwenye Ambulance 🚑?,hii sio gari ya kubeba abiria, na DC wangu Mr. Batenga(mmmmm wale wa matofali ya President Nyerere?)kuwa hakuna bahati mbaya hapo, head on collision 💥 kuna dereva alihama kutoka upande wake na kuendesha asikoruhusiwa, why usiseme kama ilivyo?,,golden rule ya udereva Tanzania, PLS KEEP LEFT
 
Na hivi umeacha ulozi (kwa mujibu wa Demi ) CCM lazima tukuroge.

Si kwa kutusagia kunguni namna hii🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…