Bado hujaona vyote duniani wewe

Na hivi umeacha ulozi (kwa mujibu wa Demi ) CCM lazima tukuroge.

Si kwa kutusagia kunguni namna hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii style inaitwaje? Mbona sijawahi kuiona?[emoji23]
 
Kama unafikiri Dunia hii umeona kila kitu, hapana. Ona hii;
Kituo kifuatacho ni bungeni
 
Bunge likiwa linaendelea, Mbunge Jimbo la Shinyanga Mjini Katambi aka β€˜Karai’ akiwaonyesha wabunge wenzie kiatu chake, alichodai ni cha kipekee na kanunua kwa milioni moja na nusu! Anasema β€œmmeona kiatu changu?”Ok, SHY Mjini kuna shule ina watoto 1,000 wanatumia matundu4 ya vyoo!
 
Kijana apewe fiber boat na engine, au apelekwe akasomee Comercial diving course akirudi atakuwa anatoa ujuzi kwa jamii inayomzunguka na wadau wengine
 
Ilitakiwa hapa uongeze na picha wakati wa ajali,wale jamaa wakiosimama pembeni.

Dah,sina hela ya mwanasheria.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mshana hawa jamaa,wataanza kukusaka unajua.[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji3064][emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550]
 
Mvuvi Majaliwa alifanya kwa freewill bila ya kuongozwa na yeyote.. Huko alikopelekwa kapelekwa store atafanya kazi chini ya maelekezo ya wakubwa!
Zawadi ni zawadi....huwezi kumpangia mtu cha kukuzawadia labda aamue kukuuliza yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…