Bado kidogo ya Ben Paul wimbo bora mwaka 2018

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Huu wimbo unanipa nguvu ya kuendelea kupambana
Big up kwa mtu mzima Ben Paul this is the real you

Una kipaji sana mzee
 
Hiyo ngoma ni kali sana lakini kama itaingia kwenye category ya inspirational song basi ile ya Sitabaki Nilivyo itashinda kwa ubora.
 
Hiyo ngoma ni kali sana lakini kama itaingia kwenye category ya inspirational song basi ile ya Sitabaki Nilivyo itashinda kwa ubora.
Kali sana
Nafkiri alijaribu kukumbuka mpigania haki Tundu lissu

"nakuona unapigania haki..... Simama utashinda"

Ina encourage sana kupambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…